Wazee kutoka janii ya Ogiek waomba serikali kuheshimu uamuzi wa koti kuwapa hatimiliki za ardhi

  • | Citizen TV
    224 views

    Wazee kutoka jamii ya Ogiek kijiji cha Sasamwani Maasai Mau wameiomba serikali kuheshimu uamuzi wa mahakamana kuwapa hatimiliki za ardhi.