Gavana Barchok awaomba vijana kufanya maandamano ya amani Bomet

  • | TV 47
    73 views

    Gavana Barchok awaomba vijana kufanya maandamano ya amani.

    Barchok anadai wanasiasa wamefadhili vijana wachache kuvuruga shughuli za kawaida.

    Barchok amesema serikali itatatua tetesi za vijana wanaondamana

    Vijana hao wanatarajiwa kuandamana hadi afisi ya Gavana Bomet.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __