Murkomen, Wahome, Duale, Tuya, taabani

  • | KBC Video
    720 views

    Hatua ya kuvunjwa kwa baraza la mawaziri huenda ikawa pigo kubwa la kisiasa kwa mawaziri wanne waliojiuzulu kutoka nyadhifa zao za kuchaguliwa ili kuwa mawaziri. Kipchumba Murkomen, Aden Duale, Alice Wahome na Soipan Tuya walijiuzulu kutoka bunge ili kuwa mawaziri na sasa hatima yao inaning'inia endapo watafeli kujinasua.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive