Safari ya kuelekea michezo ya Glasgow imeanza

  • | NTV Video
    14 views

    Kenya iliungana na mataifa mengine kuadhimisha safari ya kuelekea Michezo ya Jumuiya ya Madola ya Glasgow ya mwaka 2026 kwa sherehe ya kuzindua King’s Baton, ishara rasmi iliyobeba ujumbe kutoka kwa Mtukufu Mfalme.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya