Koome ajitoa mwenyewe

  • | NTV Video
    2,796 views

    Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome, amejiuzulu. Hii inafuata msukumo kutoka kwa wakenya kuwa awajibike na kushtakiwa kwa vifo vya waandamanaji zaidi ya arobaini waliofariki tangu wakenya kufika kwenye majengo ya bunge wakitaka kuangushwa kwa mswada wa fedha wa mwaka huu. Hatamu yake koome ikishuhudia kukithiri kwa fujo kutoka kwa polisi kwa wananchi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya