Waliuwawa wapi, wakatupwa Kware?

  • | NTV Video
    5,985 views

    Takriban miili minane imetolewa katika eneo la taka la Kware karibu na mtaa wa Mukuru kwa Njenga, Nairobi. Miili hiyo ilikuwa imefungwa kwenye magunia na mifuko mieusi ya plastiki na baadaye kufungwa kwa kamba. Miili sita kati ya yao ilisemekana kuwa ya wanawake kwa mujibu wa mashahidi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya