Gofu kipute cha Kenya Amateur Match Play

  • | NTV Video
    44 views

    Bingwa mtetezi wa kipute cha gofu cha NCBA Kenya Amateur Matchplay, Mkenya Michael Karanga, anatazamiwa kumenyana na Adel Balala wa Klabu ya Gofu ya Nyali huku Pranny Kapur wa Afrika Kusini akicheza dhidhi ya Jay Sandhu wa Muthaiga katika robo fainali ya michuano hiyo katika Klabu ya Gofu ya Windsor.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya