Inspekta Jenerali Japhet Koome ajiuzulu

  • | KBC Video
    179 views

    Inspekta Jenerali wa huduma ya kitaifa ya polisi Japhet Koome amejiuzulu. Kujiuzulu kwake kunajiri baada ya shutuma kali kutoka kwa umma uliomwelekeza kidole cha lawama kufuatia madai ya dhulma za maafisa wa polisi kupitia utekaji nyara, kujeruhi na mauaji wakati wa makabiliano na waandamanaji waliokuwa wakipinga mswada wa fedha wa mwaka wa 2024.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News