Mhariri tajika Gaitho atekwa nyara, mwanahabari apigwa risasi Nakuru

  • | KBC Video
    12 views

    Wadau wa tasnia ya uwana-habari wanataka hatua zichukuliwe dhidi ya watu waliomteka nyara mhariri tajika Macharia Gaitho leo asubuhi katika kituo cha polisi cha Karen. Gaitho ambaye alikuwa na mwanawe wakati wa tukio hilo alisema alielekea kwenye kituo cha polisi cha karen kutafuta hifadhi aliopogundua kuna gari lililokuwa likimfwata kutoka nyumbani kwake. Aidha, wana-habari waliandamana mijini Nakuru na Thika kufuatia shambulizi dhidi ya mwana-habari wa kampuni ya Mediamax anayhudumu Nakuru. Na jinsi anavyotuarifu Giverson Maina, halmashauri huru ya kutathmini utendakazi wa polisi imesema inachunguza matukio hayo na itawaadhibu waliohusika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive