Kajuju akashifu ukatili dhidi ya wanahabari

  • | Citizen TV
    755 views

    Tume ya kupokea malalamishi ya umma pamoja na baraza la wanahabari - M.C.K, wamekashifu vikali hatua ya polisi kumpiga risasi na kumjeruhi kupigwa mwanahabari wa Mediamax Catherine Kariuki Wanjeri