Maaskofu wa kiaglikana wamtaka rais kuwajibika

  • | Citizen TV
    321 views

    Maaskofu wa kianglikana wameitaka serikali kutangaza ratba ya utekelezaji wa masuala yaliyoibuliwa na vijana kuhusiana na mabadiliko yanayohitajika serikalini na haswa baraza jipya la mawazidi, mawaziri waliofutwa kazi kuwajibishwa, vita dhidi ya ufisadi, madeni ya taifa, ajira kwa vijana na mengineo