Mfanyibiashara kutoka Embu Abdi Dida ashinda Shabiki Midweek Jackpot

  • | Citizen TV
    468 views

    Abdi Dida Mfanyibiashara katika mji wa kiritiri kaunti ya embu ndiye mshindi wa Shabiki midweek jackpot baada ya kubashiri mechi zote 13/13 Kwa usahihi. Dida amezawadiwa shilingi Milioni 4.4 mjini embu.