Madaktari katika kaunti ya Mombasa watishia kushiriki mgomo

  • | Citizen TV
    148 views

    Muungano wa wauguzi Na ule wa madaktari tawi la Mombasa umetishia kususia kazi endapo serikali ya Kaunti itakosa kutekeleza mkataba wa maelewano waliotia Saini pamoja Na malipo ya mishahara Na marupurupu wakati wa mgomo.