Vijana katika kaunti ya Garissa wahimizwa kuchukua nafasi za kazi zinazotolewa na serikali ya kaunti

  • | Citizen TV
    376 views

    Vijana katika kaunti ya Garissa wamehimizwa kuchukua nafasi za kazi zinatolewa na serikali ya kaunti hiyo badala ya kujihusisha na visa vya uhalifu.