Wakulima wa miwa Nandi wataka uagizaji sukari ukomeshwe

  • | Citizen TV
    160 views

    Wakulima wa miwa katika kaunti ya Nandi wameitaka serikali kudhibiti uagizaji wa sukari kutoka mataifa ya nje wakisema taifa la Kenya linazalisha sukari ya kutosha.