Kikosi cha wanariadha wakongwe chaanza maandalizi ya mashindano ya dunia yatakayofanyika Uswidi

  • | Citizen TV
    776 views

    Timu ya riadha ya wakongwe maarufu masters imeingia kambini uwanjani nyayo tayari kwa mashindano ya dunia yatakayoandaliwa gothenburg uswidi.