Wahubiri kutoka GEMA waeleza wanamchakato wa kuleta pamoja muungano wa jamii zilizosambarika

  • | NTV Video
    164 views

    Huku joto la kisiasa likiendelea kupanda Mlima Kenya kuhusu uwezekano wa kuwasilishwa kwa mswada wa kumwondoa naibu wa Rais Rigathi Gachagua madarakani tayari viongozi wameonyesha dalili za kurejea kwa muungano wa jamii za Agikuyu, Akamba,Ameru na Embu almaarufu jamii ya GEMA. Wakizungumza katika kikao cha pamoja wahubiri wa muungano wa wahubiri kutoka Mlima Kenya na eneo la ukambani kwa jina BELUAH - Clergy United Association wameeleza kwamba tayari mchakato wa kuleta pamoja muungano wa jamii hizo ambao ulisambaratika miaka ya mbeleni. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya