Skip to main content
Skip to main content

Afisa wa GSU auliwa kwa mkuki nje ya Ikulu ya Nairobi

  • | KTN News
    1,095 views
    Duration: 1:20
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Afisa mmoja wa GSU anayelinda lango la Ikulu ya Nairobi ameuawa kwa kudungwa na mkuki akiwa kazini. Mashuhuda wanasema mshukiwa, mwanaume mwenye umri wa miaka 56, alifika eneo hilo akijifanya mkazi wa mitaani kabla ya kumdunga afisa huyo kifuani. Tukio hilo lilitokea karibu na lango la Gate D, wakati Rais William Ruto alikuwa ndani ya Ikulu akijiandaa kuondoka kuelekea Konza. Kamanda wa Kilimani Patricia Yegon na DCI Hussein Mahat walifika eneo la tukio, na uchunguzi unaendelea. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews