Familia ya Grace Awuonda inadai majibu ya kifo chake

  • | Citizen TV
    1,260 views

    Familia moja kutoka Kisumu sasa inadai haki baada ya jamaa yao kuaga dunia kwa njia tatanishi nchini Qatar mwezi uliopita. Kulingana na vyeti vya usafiri, Mary Awuonda, mwenye miaka thelathini alifariki baada ya kupigwa na nyaya ya stima nyumbani kwa mwajiri wake.