Kalonzo ajitangaza kuwa kiongozi rasmi wa upinzani

  • | K24 Video
    43 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka sasa amejitangaza kuwa kiongozi rasmi wa upinzani na kuwa ameirithi nafasi ya Raila Odinga kama kinara wa Azimio. Kalonzo ambaye hakuhudhuria hafla ya kuzindua rasmi kampeni ya Odinga katika ikulu ya Nairobi amesema ni kwa sababu Raila tayari ameanza kazi ya kuwa karibu mno na serikali na huenda ukaribu huo ukahujumu juhudi za kuiwajibisha serikali. Muungano wa Azimio unasema uko imara licha ya kuondoka kwa Odinga.