Wahisani watoa msaada wa viti vya magurudumu kwa walemavu, Uasin Gishu, Nandi na Trans nzoia

  • | Citizen TV
    202 views

    Watu 200 wanaoishi na ulemavu katika kaunti za Uasin Gishu, Nandi na Trans nzoia, wanakila sababu ya kutabasamu baada ya kanisa la SDA kwa ushirikiano na shirika la chair for Love kuwapa viti vya magurudumu kuwawezesha kuendelea na maisha yao.