wakaazi wa eneo la Matisi waliotoa ardhi yao kwa ujenzi wa barabara wanadai fidia ya kupoteza mali

  • | Citizen TV
    351 views

    Wakazi wa eneo la matisi waliotoa ardhi yao kwa ujenzi wa barabara kuu inayotoka mjini kitale hadi Suam nchini Uganda, wanalalamikia kucheleweshwa kwa ridhaa waliyoahidiwa na serikali. Wakazi hao ambao maduka yao yalibomolewa wanaitaka halmashauri ya barabara kuu nchini - KENHA kufanikisha malipo yao kulingana na mkataba kati yao na serikali.