Maeneo ya magharibi nchi yatarajiwa kupata mvua inayokaribia au kupita kiwango cha wastani

  • | NTV Video
    118 views

    Maeneo ya magharibi mwa nchi yanatarajiwa kupata mvua inayokaribia au kupita kiwango cha wastani, kulingana na utabiri uliotolewa hii leo na idara ya Hali ya Hewa Nchini. Sehemu za katikati mwa nchi na maeneo machache kaskazini mashariki na mashariki mwa nchi yanatarajiwa kupata mvua za kiwango cha chini ya wastani sawia na maeneo ya Pwani na Kaskazini Mashariki mwa nchi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya