Kinara wa Wiper Kalonzo atarajiwa kuongoza wakenya kuokoa katiba mpya ambayo miaka 14 ulitangazwa

  • | NTV Video
    677 views

    Miaka Kumi na Minne baada ya Katiba mpya kutangazwa Wakenya wanazidi kusherehekea maadhimisho ya siku ya kutangazwa kwa katiba hiyo kwa njia tofautitofauti. Adhuhuri hii kinara wa wiper kalonzo musyoka anatarajiwa kuwaongoza wakenya wengine chini ya vuguvugu la okoa okoa katiba katika jumba la kihistoria la Ufungamano kwenye maadhimisha hayo .

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya