Kaunti ya Kwale kusitisha ujenzi wa vituo vipya vya afya ili kuboresha vituo vilivyoko

  • | Citizen TV
    124 views

    Serikali ya Kaunti ya Kwale imetangaza kusitisha ujenzi wa vituo vipya vya afya ili kuboresha vituo vilivyoko Kwa sasa.