Baadhi ya wakulima Kiambu wafanya kilimo bila mchanga

  • | Citizen TV
    973 views

    Baadhi ya wakulima katika kaunti ya Kiambu sasa wameanza kutumia mbinu maalum ya kuendeleza kilimo bila matumizi ya udongo. Kilimo hicho kimewapa wakulima wengi haswa walio maeneo yaliyokumbwa na changamoto za maji na hali ngumu ya anga fursa ya kuendelea na utoshelevu wa chakula.