Vifo inazidi kupungua baada hamasa kwa kina mama kujifungulia hospitalini Magadi, Kajiado Magharibi

  • | NTV Video
    143 views

    Vifo vya wakati wa kujifungua kwa kina mama na watoto vinazidi kupungua katika eneo la Magadi kaunti ndogo ya Kajiado Magharibi kufuatia hamasa kwa kina mama kujifungulia hospitalini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya