Wanawake wafugaji kutoka Isiolo wajitosa katika kilimo cha kisasa ili kuleta utoshelevu wa chakula

  • | NTV Video
    120 views

    Wanawake wafugaji katika eneo la ngaremara kaunti ya Isiolo wamejitosa katika kilimo cha kisasa cha kutumia mbinu ya kunyunyizia maji kwa njia ya matone ambayo inahakikisha matumizi ya busara ya rasilimali ya maji. Kina mama hawa sasa wanakiri kwamba ukulima huu umeleta utoshelevu wa chakula na kuepuka athari za mabadiliko ya tabianchi baada ya kuathirika na ukame uliosababisha kifo cha mifugo wao

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya