Ziara ya Ruto Uchina I Ruto apigia debe azma ya Odinga

  • | KBC Video
    405 views

    Rais William aliye jijini Beijing nchini China ameshauriana na marais sita wa kiafrika kujadili uhusiano na kupigia debe azma ya Raila Odinga ya kugombea uwenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika. Ruto aliyeandamana na Raila alishauriana na marais Faure Essozimna Gnassingbé wa Togo, Assimi Goita wa Mali, Paul Kagame wa Rwanda, Umaro Sissoco Embalo wa Guinea-Bissau, Mahamat Idriss Deby wa Chad, na Hakainde Hichilema wa Zambia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive