Maktaba ya kwanza ya kijamii eneo la Tharaka

  • | Citizen TV
    241 views

    Wanafunzi eneo la Tharaka kaunti ya Tharaka Nithi kwa mara ya kwanza wamepata maktaba ya jamii. Ni mrandi ambao umeletwa na mashirika yasio ya serikari ya USAID, TWWP na Our Sister Lead.