Maoni mseto ya wakenya kuhusu kumuondo madarakani Gachagua

  • | Citizen TV
    2,147 views

    Mamia ya wakenya kutoka maeneo ambayo yalikuwa ngome ya upinzani hii leo walijitokeza kuunga mkono mswada wa kumtimua ofisini naibu Rais Rigathi Gachagua. Katika Kaunti za Kisumu, Mombasa, Migori, Homa Bay na Kakamega ambazo awali zilipinga uongozi wa serikali ya Kenya Kwanza, wakazi hii leo walimshutumu Gachagua wakisema masaibu yake ni ya kujitakia.