Kauli za kumbandua naibu rais Gachagua

  • | Citizen TV
    2,367 views

    Hali ya mshikemshike ilishuhudiwa katika ukumbi wa Bomas hapa jijini Nairobi hii leo pale mwanaharakati Morara Kebaso alipovamiwa na kufurushwa kwenye vikao vya umma vilivyokuwa vikiendelea katika ukumbi wa Bomas. Morara ambaye ni mkosoaji mkubwa wa rais William Ruto alishambuliwa kwenye kizaazaa kilichotatiza kwa muda shughuli hiyo