Zaidi ya wakaazi 200 kutoka kaunti ndogo ya Rongai wajitokeza na kushiriki katika upanzi wa miti

  • | Citizen TV
    846 views

    Wakaazi zaidi ya 200 kutoka kaunti ndogo ya Rongai, kaunti ya Nakuru maeneo ya chergei, kayanet, Tumaini na mengineyo ya Kabarak, walijitokeza na kushiriki katika upanzi wa miti .