Chama cha wauguzi Nyamira kimetoa ilani

  • | Citizen TV
    77 views

    Chama cha wauguzi nchini - KNUN - tawi la Nyamira, kimetoa ilani ya mgomo utakaoanza baada ya majuma mawili, kufuatia kucheleweshwa kwa mishahara yao, kudhulimiwa kwa baadhi yao na kucheleweshwa kwa mishahara ya baadhi yao kwa zaidi ya miezi mitano.