Wakenya waliotoka ughaibuni wafunzwa kujitegemea

  • | Citizen TV
    1,348 views

    Wakenya Zaidi Ya 400 Waliokuwa Ughaibuni Wakifanya Kazi Na Kurudi Nchini Wamepokea Mafunzo Ya Kibiashara Ili Kujitegemea. Wameelezea Madhila Waliyopitia Mikononi Mwa Waajiri Wao Na Kukata Kauli Ya Kurudi Nyumbani.