
6,194 views
14 Jul 2025
Nikuabudu lyrics Mungu wa agano Mungu wa ahadi Mungu mkamilifu We ndiwe wa kale leo na milele, Mungu mtakatifu Unasema jambo unatenda hivyo, Mungu mwaminifu U kitini chako sifa zote ni zako, Mungu nikuabudu Nikuabudu Nikuabudu ijulikane leo wewe ni Mungu Itambulike kwamba wewe ni Mungu Eeh nikuabudu Nikuabudu ijulikane leo wewe ni Mungu Itambulike kwamba wewe ni Mungu Kila asubuhi niraushane na ndege, nikuambie Sifa zako zijulikane duniani kote Na jioni mikono niinue, kama dhabihu kwako Wewe Mungu usifiwe, Milele yote Ijulikane hakuna mwingine kama wewe Bwana Ijulikane hakuna mwingine duniani kote Ijulikane hakuna mwingine mfalme wa milele Ijulikane hakuna mwingine kama wewe Nikuabudu wewe Nikuabudu ijulikane leo wewe ni Mungu Itambulike kwamba wewe ni Mungu Nasema nakuabudu Nikuabudu ijulikane leo wewe ni Mungu Itambulike kwamba wewe ni Mungu Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu (ndio maana) Tunainama na kusujudu mbele zako Mungu Wewe ni Mungu Wewe Mungu (pekee yako) Tunainama na kusujudu mbele zako Mungu Wewe ni Mungu Wewe Mungu (wa kweli) Tunainama na kusujudu mbele zako Mungu Wewe ndiwe Mungu Wewe ni Mungu (wa kweli eeh Bwana) Tunainama na kusujudu mbele zako Mungu Tunainama eeh Tunainama na kusujudu mbele zako Mungu Twanyenyekea Tunainama na kusujudu mbele zako Mungu Pamoja na wazee ishirini na nne Tunainama na kusujudu mbele zako Mungu Pamoja na viumbe eeeh Tunainama na kusujudu mbele zako Mungu Pamoja na malaika Tunainama na kusujudu mbele zako Mungu Ooh wewe ndiwe Mungu, we ndiwe Mungu, we ndiwe Mungu