
207,553 views
23 May 2025
Mwisho Wangu : Lyrics Wengi waliambia nafsi yangu hana wokovu huyu Nikamlilia Mungu wangu akaniitikia Bwana Nalijilaza nikaamka maana Bwana ananilinda Yeye ndiye ngao yangu na mwinua wa kichwa changu Najua mwisho wangu, yataisha kwa sifa Najua mwisho wangu, yataisha kwa sifa Mungu najua mwisho wangu, yataisha kwa sifa Najua mwisho wangu, yataisha kwa sifa Mungu si mtu aseme uongo wala si mwanadamu ajute Alichosema atatenda alichonena atafikiliza Nimebeba ahadi zake nimebeba neema yake Nimebeba shuhuda zake nimebeba Mungu mwenyewe Najua mwisho wangu, yataisha kwa sifa Najua mwisho wangu, yataisha kwa sifa Nina uhakika hakuna machozi hakuna kilio Najua mwisho wangu, yataisha kwa sifa Ninaishi kwa ahadi yataisha kwa sifa Najua mwisho wangu, yataisha kwa sifa Mimi najua mwisho wangu yataisha kwa sifa Najua mwisho wangu yataisha kwa sifa Najua najua najua najua Najua mwisho wangu yataisha kwa sifa Kwa afya yangu najua yataisha kwa sifa Eeh kwa ndoa yangu najua yataisha kwa sifa Kwenye biashara najua yataisha kwa sifa Na hata kazini najua yataisha kwa sifa Haiya humu shuleni najua yataisha kwa sifa Na kwao wanangu najua yataisha kwa sifa Kwa hii huduma najua yataisha kwa sifa Vita si vya milele najua yataisha kwa sifa Nanena kwa imani najua yataisha kwa sifa Eeh nanena kwa ushindi najua yataisha kwa sifa Yataisha kwa sifa yataisha kwa sifa Najua mwisho wangu yataisha kwa sifa