
441,302 views
7 Apr 2025
Nimesaidiwa : Lyrics Verse 1 Unavyoniona nimesaidiwa na Mungu Mimi mwenzenu nimesaidiwa na Mungu Nilipofika nimesaidiwa na Mungu Jamani mwenzenu nimesaidiwa na Mungu Vita vikali amepigana kwa ajili yangu Mungu Jamani mwenzenu nimesaidiwa na Mungu Mishale ya shetani ameizima kwa niaba yangu Mungu Mimi mwenzenu nimesaidiwa na Mungu Mimi nimesaidiwa, nimehurumiwa Mwenzenu nimesaidiwa, nimesaidiwa na Mungu Eeh Chorus Mimi nimesaidiwa (nimesaidiwa) Nimesaidiwa (yelelele lele) Mimi nimesaidiwa (ooh) Nimesaidiwa na Mungu (sio kwa nguvu zangu) Mwenzenu nimesaidiwa (au mkono wa mwili) Nimesaidiwa (nimesaidiwa) Mimi nimesaidiwa Nimesaidiwa na Mungu Verse 2 Mipaka yangu amepanua, Vilivyoibiwa na shetani yeye amerejesha Na kapu langu, amelijaza, Katika kiwango cha kujaa, kusukwasukwa hadi kumwagika Na njia zangu, amezinyosha, kwa neema yake utukufu wake umenizukia Mimi nimesaidiwa, nimehurumiwa, Mimi nimesaidiwa nimesaidiwa na Mungu Nimesaidiwa Chorus Mimi nimesaidiwa,(natazama juu) Nimesaidiwa (msaada wangu) Mimi nimesaidiwa (iyee) Nimesaidiwa na Mungu (Mimi Zoe nime, nime nime) Mwenzenu nimesaidiwa (saidiwa) Nimesaidiwa (nimesaidiwa) Mimi nimesaidiwa Nimesaidiwa na Mungu Mimi nimesaidiwa (amenikumbuka) Nimesaidiwa (amenichekesha) Mimi nimesaidiwa (vazi la heshima) Nimesaidiwa na Mungu (eeeh) Mwenzenu nimesaidiwa (machozi ya furaha) Nimesaidiwa (shangwe ya kushinda) Mimi nimesaidiwa (nimesaidiwa) Nimesaidiwa na Mungu