
528 views
1 Jun 2023
#ZamuYangu #ProsperNdilima #MrNdilima #redigging #Repossessing No matter the state of the situation; let God arise in it by agreeing with Him as you declare His word over your Life. Isaiah 60:1 [1]Arise, shine; For your light has come! And the glory of the Lord is risen upon you. Audio: Ihaji D Video: Dr. Eddie Extra BGVS: https://instagram.com/zippiegachengoh?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== To support the ministry use; Mpesa Paybill: 522 533 Account: 7949 303 Choreography: https://instagram.com/xtreemarena?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== Model: https://instagram.com/monicahdaniels?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== https://youtu.be/9O4Ka9jcrUc https://youtu.be/UmUJFimSDXA https://youtu.be/Odfgv7NGjOc https://youtu.be/galEs7mwSxY ZAMU YANGU LYRICS Mmmmmh Ohnanana nana Oyoyooo Aarsi! Ni zamu yangu kung'ara sasa Ni zamu yangu kusonga mbele Ni zamu yangu kupaa juu Ni zamu yangu sirudi nyuma Ni zamu yangu kung'ara sasa Ni zamu yangu kusonga mbele Ni zamu yangu kupaa juu Ni zamu yangu sibaki vile Ni wakati wangu kuinuka na kuangaza Ju mwanga wangu Umeshatua kichwani mwangu Na utukufu Umeinuka maishani mwangu Nimepewa haki ya uridhi Na Yesu Kristo Amenitoa kwenye mavubi Kaniketisha kwenye ufalme Amenitoa kwenye mavubi Kaniketisha kwenye ufalme Ni zamu yangu kung'ara sasa Ni zamu yangu kusonga mbele Ni zamu yangu kupaa juu Ni zamu yangu sirudi nyuma Ni zamu yangu kung'ara sasa Ni zamu yangu kusonga mbele Ni zamu yangu kupaa juu Ni zamu yangu sibaki vile Kibali tosha, Pia neema Mungu ametoa kwa wana wake Nyakati za zimebandilika Pia majira imebadilika Yale yaliokuwa magumu Sasa twafanya kwa urahisi Yale yaliotushinda Jana Sasa twafanya kwa urahisi Majira sasa imebandilika Majina pia imebandilika Majira sasa imebandilika Majina pia imebandilika Ni zamu yangu kung'ara sasa Ni zamu yangu kusonga mbele Ni zamu yangu kupaa juu Ni zamu yangu sirudi nyuma Ni zamu yangu kung'ara sasa Ni zamu yangu kusonga mbele Ni zamu yangu kupaa juu Ni zamu yangu sibaki vile Ewe rafiki tukuite Nani? Mimi naitwa m'barikiwa Nawewe kaka tukuite nani? Mimi naitwa m'barikiwa Nawewe dada tukuite nani? Mimi naitwa m'barikiwa Ebu jipe jina tukuite nani? Mimi naitwa m'barikiwa Ni zamu yangu kung'ara sasa Ni zamu yangu kusonga mbele Ni zamu yangu kupaa juu Ni zamu yangu sirudi nyuma Ni zamu yangu kung'ara sasa Ni zamu yangu kusonga mbele Ni zamu yangu kupaa juu Ni zamu yangu sibaki vile Ni zamu yangu kung'ara sasa Ni zamu yangu kusonga mbele Ni zamu yangu kupaa juu Ni zamu yangu sirudi nyuma Ni zamu yangu kung'ara sasa Ni zamu yangu kusonga mbele Ni zamu yangu kupaa juu Ni zamu yangu sibaki vile Napaa napaa juuu Nasonga songaa songa mbelee Sibaki vile Sirudi nyuma eeeheee