
287 views
7 Feb 2022
Hmmmmm Aaarsi, Cha macho kipimo Hupima sawa nyama ya mzonga Sio mimi nimesema Eiiiii Wahenga walinena Ungekuwa kasi sana Yako ingeng'oa nanga tangu jana Tera mos, maisha safari Mafanikio foleni Na kwenye jukwaa twapanda kwa zamu Kibali na neema Ni zake Mungu Baba Tena Ye anazitenga Sawia na kusundi Na yake mapenzi Anainua masikini Kum'toa mavumbini Matopeni topeni Anam'ketisha na wakuu Anakula na wafalme Heshima anam'tunukia Oyaaa Husimdharau mtu Kwa hali yake ya sasa Mwenye kutenga nyakati Na pia majira Ni Mungu Muumba Oaaa Husimdharau mtu Kwa hali yake ya sasa Mwenye kutenga nyakati Na pia majira Ni Mungu Mwenyezi Eeiii Hello, Wachana na kichwa Heshimu muumba Hujui bei yake nywele Fikira za nini Lini n'tazipata Nilizoziona kwa kina flani Magapi barabarani Mangari twajua ya mkopo Mabenki zikiwadai Wenyewe wanarudi msoto Wangapi wana manyumba Kube mortgage bado haijalipwa Ofisi haikaliki.... Kitanda hakilaliki Kisa na maana Imeshapanda joto Husije kakufuru Kwa kidogo ulicho nacho shukuru Sawia na subira Moyo m'kujuvu Unavuta heri Na heri, Heri yake Mungu Yoyoyoyoyooo Husimdharau mtu Kwa hali yake ya sasa Mwenye kutenga nyakati Na pia majira Ni Mungu Muumba Oaaa Husimdharau mtu Kwa hali yake ya sasa Mwenye kutenga nyakati Na pia majira Ni Mungu Mwenyezi Eeiii Kuna wenye walianza nanzo Leo hii wamekwama kwa deni Kuna wenye walianza na mkopo Leo hii ndio wenye kukopesha Pa kuanzia ngumu kuchangua Unapojipata kunawiri kuamua Pa kuanzia ngumu kuchangua Unapojipata kunawiri kuamuaa Husimdharau mtu Kwa hali yake ya sasa Mwenye kutenga nyakati Na pia majira Ni Mungu Muumba Oaaa Husimdharau mtu Kwa hali yake ya sasa Mwenye kutenga nyakati Na pia majira Ni Mungu Mwenyezi Eeiii