
2,036 views
9 Aug 2021
God created everybody with a special purpose to accomplish in life. We see in John 10:10 that the enemy's plan is to steal,kill and destroy mankind's God's intended destiny but Jesus Christ came so that we may have life in abundance. Proclamation of God's agenda over our lives brings it to reality in our lives. Song: Agenda Ya Mungu, Artiste: Prosper Ndilima, Audio: @ihajimadeit Video: @stevehunterr BGV'S: Zippie Gachengo To support the ministry use; Mpesa Paybill: 522 533 Account: 7949 303 Stream and Download https://www.boomplay.com/songs/67414799?from=search&srModel=COPYLINK&srList=WEB Follow Me Facebook @ProsperNdilima Instagram @ProsperNdilima Twitter @ProsperNdilima Lyrics: Aarsi! Huuu Juu ya Maisha yangu Natangaza agenda ya Mungu Juu ya Maisha yangu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu eh. Hallelujah Natangaaza Alipo niumba Mungu Aliniumba na agenda kuu Naye mwovu akaja kuimba Kuua na kuaribu Ndipo Mungu katuma Yesu Ili mimi nipate kuishi Ndipo Baba katuma Yesu Ili nipate kuishi zaidi Kwenye afya yangu Mimi naishi zaidi Kwenye mapato yangu Mimi naishi zaidi Kwenye ndoa yangu Mimi naishi zaidi Kwenye mipango yangu Mimi ninaishi zaidi eh.. Juu ya Maisha yangu Natangaza agenda ya Mungu Juu ya Maisha yangu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu eh. Kama bado bingu na ardhi zipo Majira ya bengu hayakomi Majira ya kuvuna hayakomi Majira ya bengu hayakomi Na; tangu nyakati zile Zake Yohana m'batizaji Ufalme wa binguni Unapigwa vita kwa sana Na ni wale wenye nguvu Wana uchukua kwa nguvu Na ni wale wenye nguvu Wana uchukua kwa nguvu Hizi vita si za mwili Hizi vita ni za roho Hizi vita si za damu Hizi vita ni za roho Juu ya Maisha yangu Natangaza agenda ya Mungu Juu ya Maisha yangu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu eh. Oh nana nanana Sikuzaliwa kimakosa, Sikuzaliwa kibahati, Nilizaliwa kwa kusudi, Mungu akona agenda nami Sikuzaliwa kimakosa Sikuzaliwa kibahati Nilizaliwa kwa kusudi Mungu akona agenda nami Juu ya Maisha yangu Natangaza agenda ya Mungu Juu ya Maisha yangu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu Natangaza agenda ya Mungu eh.