
973 views
25 Feb 2026
#TAIFA LENYE MAADILI (2026) - KELLA B album Karibu kutazama video rasmi ya wimbo wa kwanza kuachiwa kutoka kwenye album ya tano ya GEN. KELLA B inayoitwa TAIFA LENYE MAADILI (2026) TAIFA LENYE MAADILI Album hii itakuwa mtaani rasmi tar 25.04.2026 Gen. Kella B Ni askari toka familia ya WANABOMA yenye maskani yao Tanzania.Kella B amekuwa mkufunzi juu ya uwajibikaji na maadili katika jamii zetu Ungana nasi katika kujenga jamii imara na bora