
1,138 views
6 Jan 2024
#KUHUSU MAADILI album Karibu kutazama video rasmi ya wimbo wa tatu kuachiwa kutoka kwenye album ya pili ya GEN. KELLA B inayoitwa KUHUSU MAADILI Gen. Kella B NI askari toka familia ya WANABOMA yenye maskani yao Tanzania.Kella B amekuwa mkufunzi juu ya uwajibikaji na maadili katika jamii zetu Ungana nasi katika kujenga jamii imara na bora Sambaza/Share