
881 views
12 Jan 2025
#KELLASOPHIA album Karibu kutazama video rasmi ya wimbo wa kwanza kuachiwa kutoka kwenye album ya nne ya GEN. KELLA B inayoitwa KELLASOPHIA Album hii itakuwa mtaani rasmi tar 22.02.2025 Gen. Kella B Ni askari toka familia ya WANABOMA yenye maskani yao Tanzania.Kella B amekuwa mkufunzi juu ya uwajibikaji na maadili katika jamii zetu Ungana nasi katika kujenga jamii imara na bora Sambaza/Share