
1,413,186 views
9 Feb 2025
Bwana alivyo mkarimu, Bwana alivyo na upendo, tazama ametuandalia chakula cha uzima, Wale wapenzi wa Bwana jongeeni kwake Bwana anawaalika Jongeeni kwake Wimbo wa kupokea Umetungwa na Deo Kalolela. Umeimbwa na Sauti Tamu Melodies Audio na video vimeandaliwa na Martin Mutua Munywoki Furahia nyimbo nyingineza za kupokea kutoka channel hii kama vile Anayekula Mwili Wangu, Hii ni ekaristi, nitajongea meza yako, mwili wa Bwana Yesu na kadhalika. Pia unaweza tazama nyingine za kupokea kama Nakukaribisha Yesu Wangu channel ya Rajo Production, na channel nyinginezo. #sautitamu #kwayakatoliki