
183,868 views
10 Dec 2023
Vigelegele na tupige wote aiya iya iya nyimbo nzuri na tuimbe kazaliwa Mwokozi Mtunzi - J C Shomaly Waimbaji - Sauti Tamu Melodies Mtayarishaji - Munywoki Martin Mutua Kinanda - Richard Wabomba Solo - Faith Syombua karibu kutazama wimbo huu wa Krismas pamoja na nyimbo nyingine kama mbali kule nasikia, wachungaji wakaenda kwa haraka, leo Yesu kaliwa, leo yatimizwa, amezaliwa masiha na kadhalika. Merry Christmas