
88,264 views
2 Dec 2023
Leo yatimizwa maneno ya kale; Masihi kazaliwa heko kwake Shangwe kuu tumpokeapo mgeni mwana wa Mungu Kristo. wimbo wa Christmas Nyimbo nyingine za Christmas Mbali kule nasikia, wachungaji wakaenda kwa haraka, kengele zasikika, Usiku wa Manane, Noeli ya kwanza, Mwokozi amezaliwa, Bwana kazaliwa #SautiTamu #kwayakatoliki #Christmas #Noeli #advent Umeimbwa na Sauti Tamu Melodies. Umeandaliwa na Martin Munywoki