
2,164 views
8 Apr 2024
Ni wimbo wa PILI kuachiwa toka kwenye mradi wa DAMU (album) toka kwa general kiraka kaafeel ALbum hii ni kwa ajili ya HANDAKI maalum kwa vichwa vyote vya hip hop duniani, Hip Hop halisi ipo huru na ipo hai Tuendelee kusambaza upendo huu