
1,419 views
Kaa Feel and Kiraka Tosh
9 Jul 2019
Hii ni nyimbo ya kwanza kuachiwa kutoka kwenye album inayoitwa AFRIKA/ALKEBULAN ambayo imefanywa na Watunza Misingi.. KATIKA KATIBA YA WATUNZA MISINGI KIFUNGU CHA SITA KINAFAFANUA '' Utamaduni wa Hip Hop hautolazimika kumlazimisha mtu au jamii kuwa na imani fulani ya dini, kwa kuwa tunaamini kufanya hivyo ni matumizi mabaya ya rasilimali muda ingawa kama jamii ya watunza misingi mara zote tunapendekeza mtu watu kutizama Afrika katika msako wao wa kujifafanua katika masuala ya kiimani '' KUPATA ALBUM PIGA +255769011818/0778114821