
16,187 views
Kaa Feel feat Watunza Misingi
2 Feb 2023
Hii ni bonus ya mradi uitwao DAMU wa Kiraka KAA FEEL ambao umeachiwa rasmi tarehe 28.01.2023. Huu wimbo ni mahususi kwa wote wanaochunguza mitindo ya maisha binafsi ya watu badala ya kufuatilia sanaa ilihali wanasingizia wao pia wanaupenda na kuuelewa utamaduni wa HIP HOP. Furahia Mzuka ✊🏿 Shot & Edited by Nakam69 #WatunzaMisingi
Watunza Misingi feat Mad Kachaa, Majanta, Funda, Kiraka Tosh and Opobo
Watunza Misingi feat Makanta and Viraka